Wakuu wasalaam,
Naomba kuuliza:
Hivi inakuwaje hata baada ya kupata chanjo mara 2,
Ukakaa miezi au Miaka kadhaa,
Eti hakuna Kipimo kinachoweza kugundua au kukupima kama uliwahi pata Chanjo ya homa ya Ini?
Yaani hata ukipata chanjo leo hutoweza au hakuna Uthibitisho wa kujua kama umepata Chanjo ya Homa ya Ini?
2.Hivi kwenye suala la UKIMWI!
Kwa Nchi zetu za Africa kwanini say umefanya tendo la ndoa leo na Muathirika kwanini hauwezi kupima ukakutwa na HIV?
Ina maana hakuna reagent wa ku react faster?