Nyakabindione
Member
- Jan 5, 2015
- 7
- 1
Habari za leo wataalamu wa sheria. Kabla sijaandika swali langu, naomba niweke wazi kabisa kwamba mimi si mjuvi wa mambo haya ya sheria. Lakini kama rais mwema, napenda sana kujifunza maswala mbalimbali ya kisheria.
Swali langu ni: Je, mikataba ya serikali (yaani serikali inapoingia mkataba labda wa ujenzi wa project fulani) ni public document?
Swali langu ni: Je, mikataba ya serikali (yaani serikali inapoingia mkataba labda wa ujenzi wa project fulani) ni public document?