Nadhani marekebisho ni online tuKwa case yako nenda ofisini tazara kawaelezee kama uko Dar.
Samahani naomba niulize swali kwa ajuaye. Je kwa wale wenye marekebisho inabidi u print tena ukishafanya marekebisho then ukawatumie kwa EMS tena kule posta??? ili wapate hard copy?
Mimi nimerekebisha toka juzi Ila sijajibiwa kituMkuu hatimaye nimeshaenda tazara, wamesema et kama imeshakuwa verified the haina tatizo lolote..
Ingekuwa na kosa lisingefanyiwa verification, kwa maana form ipo complete.
Ivi we baada ya marekebisho kale ka notification ka kukosea kametoka??Kwa case yako nenda ofisini tazara kawaelezee kama uko Dar.
Samahani naomba niulize swali kwa ajuaye. Je kwa wale wenye marekebisho inabidi u print tena ukishafanya marekebisho then ukawatumie kwa EMS tena kule posta? ili wapate hard copy?
ndio kametoka na kamesema successfully corrected.Ivi we baada ya marekebisho kale ka notification ka kukosea kametoka??
Nisaidie ulifanyej maan nimejarbu ila badondio kametoka na kamesema successfully corrected.
Sent from my Redmi 7A using JamiiForums mobile app
😃😃, Et pepsi,Form yako iko sahihi. Imeshakuwa verified tayari... subiri allocation mkuu( ingekuwa ina makosa wangeandika)
Chukua Pepsi baridi shushia taratibu ukiomba Mungu kila kitu kikae sawa, kwa sababu form kuwa sahihi sio guarantee ya kupata mkopo. Vigezo ni Vingi!
Tuma Tena hichohicho kwa mfumo waliotoa wa kutuma.Kama marekebisho Ni Online Scan OG uwatumieNisaideni pia hapa, HESLB wanasema birth certificate haijakuwa certified na RITA/XXX lakini ukweli ni kwamba cheti kilikuwa certified kama kinavyoonesha hapa chini.
View attachment 1965655
View attachment 1965657
Ulisainisha pia na mahakamani?Nisaideni pia hapa, HESLB wanasema birth certificate haijakuwa certified na RITA/XXX lakini ukweli ni kwamba cheti kilikuwa certified kama kinavyoonesha hapa chini.
View attachment 1965655
View attachment 1965657
Umejaribu kukituma baada ya wao kufungua dirisha la marekebisho?hebu kitume Tena tuone watatoa majibu ganiNdio
Nicheki WhatsApp tushauriane Jambo +255758636908 Nina shida Kama yakoNimetuma tena leo mkuu
OkBahati mbaya situmii WhatsApp mkuu.
All the bestSawa mkuu. Nimepandisha tena ngoja tusubiri majibu.