OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,128
- 24,064
Wakuu namna gani?
Naulizia katika ulimwengu wa IT, kozi zinazokimbiza kwa Sasa sokoni.
Naulizia katika ulimwengu wa IT, kozi zinazokimbiza kwa Sasa sokoni.
Tupe na mrejesho wa huko Doha mwanaWakuu namna gani?
Naulizia katika ulimwengu wa IT, kozi zinazokimbiza kwa Sasa sokoni.
Ebhana tuko salama mkuu. Allah anatubariki..Tupe na mrejesho wa huko Doha mwana
Database and Data analysis
computer Networking
programming
Ni nzuri cos ubora wa system yoyote unategemea database knowledge kama yupo tayari tunaweza mpa njia ya kupita ili aweboraJamaniii Hii database mdogo wangu anaitaka