NCHABIRONDA
JF-Expert Member
- Jun 6, 2011
- 298
- 108
Mara nyingi nimekuwa nikiwasikia watu wanaongelea hili neno G-SPOT eti kwamba ni kiungo cha mwanamke kilichoko kwenye uke wake. Wanadai kwamba hicho kiungo ndo kinampa mwanamke msisimko katika suala zima la maandalizi kabla hamjaanza game, naombeni wadau wenye utalam wa mapenzi mnieleweshe hiyo G-SPOT iko maeneo gani mbona mimi nikiwa na shemeji yenu najaribu kuitafuta hiyo G-SPOT lakini siioni. Naombeni ufafanuzi wadau