Naomba ufafanuzi kuhusu hili la kubadilisha kozi mwaka wa pili Chuo

Dec 29, 2020
6
2
Msaada nina mdogo anasoma Bachelor of Nursing ila anahitaji kuhamia Md.

Je, inawezekana kuhamia baada ya semister ya kwanza au anaweza kuhamia MD akiwa anaingia mwaka wa pili.
 
haiwezekani chuo unaweza kuhama kozi kipindi ambacho TCU wanafungua dirisha la transfer likifungwa hapo ndio basi tena.
 
Kuna mtu katupa ushauri apa kwamba asome tuu hiyo nursing then baada ya miaka minne anarudi kusoma MD anaanza mwaka wa pili .......je inawezekana nauliza tuu
 
Msaada nina mdogo anasoma Bachelor of Nursing ila anahitaji kuhamia Md.

Je, inawezekana kuhamia baada ya semister ya kwanza au anaweza kuhamia MD akiwa anaingia mwaka wa pili.
Bro kwa maelekezo mazuri yanapatikana chuo anachosoma aende akaonane na dean wa upande wa MD kuomba nafasi wanaweza wakamsumbua ila kama anaqualification inawezekana.

Ila hakutakuwa na urahisi kwa sababu nafasi kama hizo wengi wanazitaka so kaza sana na kulialia kwa sana. komitimenti inahitajika kwa sana usiyumbishwe na nenda rudi
 
Kuna mtu katupa ushauri apa kwamba asome tuu hiyo nursing then baada ya miaka minne anarudi kusoma MD anaanza mwaka wa pili .......je inawezekana nauliza tuu
Ni kweli inawezekana, lakini katika chuo hicho alichokushauri. Hiyo inaweze katika baadhi ya shule za Private, kwasababu baadhi ya shule za private program ya mwaka wa kwanza ya MD na Nurse ni sawa. Kimsingi husoma darasa moja. Mwaka wa pili ndio wanatengana, ndio maana hutakiwi kusoma mwaka wa kwanza.

Ila wengi kati ya hao waliosoma Nursing, wakimaliza mwaka wa nne mawazo hayo ya kwenda kwenya MD hupotea kwasababu kuna Fursa nyingi sana kwao hata kama hawataki kufanya kazi ya U-Nurse. Kwa mfano anaweza kusoma masters ya public healthy na nyinginezo na kuendelea na maisha.
 
shukrani sana
 
je ni razima aunganishe apoapo au anaweza fanya kwanza intern kisha mwaka wa pili baada ya kumaliza intern akaanza tena MD kama second year .......naomba ufafanuzi apo
 
Anaweza kuunganisha bila kwenda intern: Lakini fikiria vifuatavyo -
  • Atahitaji cheti (degree) hicho kwa maombi, ambacho huchukua muda kidogo mpaka kukamilika, hivyo inawezekana asipate kwa mwaka huo huo. Kwanini baada ya kusubiri mwaka nyumbani asiende intern.
  • Japo ataomba katika chuo husika, lakini mchakato utaihusisha TCU kama michakato ya muombaji mwingine yeyote
Binafsi ningemshauri asiwe na haraka, na hivyo ni vizuri aende intern. Kwasababu kwanza Intern atalipwa kila mwezi si chini ya laki 7 kwa mwezi hivyo kwa mwaka atapata pesa nzuri tu, kwanini aiache. Pili atapata ujuzi wa kazi yake na hicho cheti ni muhimu kama atataka kufanya kazi kwenye Nursing (Maisha ya sasa hivi ni kiza).
 
Asome Nursing atapishana na gari la mshahara, MD sasa hivi haina ishu ili awe potential itamlazimu kufanya masters hapo angalau anaweza kuona tobo.
 
Back
Top Bottom