Kati ya madaktari wote wa meno na upasuaji wa fizi waliopo Dar es Salaam yupi ndio bora/zaidi?
Habari zenu, Jamani mimi ninaomba Msaada, kuna kitu kinaitwa dental implant hii ni Nasikia ni permanent solution ya teeth lost yaani ni zaidi ya dentures. so nauliza kwa hapa bongo ni hospitali zipi zinatoa huduma hiyo na cost yake inarange vipi. Thanx.
Hahahhaha mkuu utapata tabu sana...Ulienda clinic gani mrejesho
Hahahhaha mkuu utapata tabu sana...
Na mimi nilikuwa kama wewe mkuu,niliuliza sana mpaka siku moja nikaamua kujiripua.π π π unanicheka navohangaika kuulizia watu mkuu?
Ulifanikiwa kwenda karibu kwa clinic gani.
Zipo clinics kadhaa DSM jaribu SD Dental clinic kwa Dr Shabir Mtaa wa Jamhuri kama uko Dsm. Jiandae na kila jino ni zaidi ya $200.