Naomba ufafanuzi katika hili la Pc Data recovery

Naomba ufafanuzi katika hili la Pc Data recovery

Darius Tanz

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2011
Posts
461
Reaction score
137
Habari wakuu,

Kuna dogo nilimpa PC yangu ashushe Windows, ameformat local disk C na D ambayo ilkua na data zangu. Kuna namna naweza recover hizi data za local disk D?

Msaada
 
"Darius Tanz "tech pioneer sitegemei data recovery ikusumbue mkubwa.
 
Habari wakuu, kuna dogo nilimpa pc yangu ashushe Windows, ameformat local disk c na d ambayo ilkua na data zangu... Kuna namna naweza recover hizi data za local disk d? Msaada
Tumia crushplan software
 
Ni PM nikutumie Hetman NTFS Data Recovery 2.8 au Hetman Partition Data Recovery 2.8. pamoja na key zake. Unaweza kudownload kwenye website yao kisha nikakutumia key. Gharama ni 5,000. Ni pm sasa hivi tufanye biashara kama upo serious
Nakuwezeshaje mkuu unitumie?
 
Back
Top Bottom