Naomba ufafanuzi katika hili la Ku certify vyeti

Tonny Side

Member
Joined
Jul 1, 2018
Posts
12
Reaction score
5
Hivi naomba kuuliza wakuu kuhusu ku certify vyeti ukiapply unaweza kuscarn original copies na ku-apload bila ku certify.
 
Zunguka kote mwisho wa siku kama umeambi
Hivi naomba kuuliza wakuu kuhusu ku certify vyeti ukiapply unaweza kuscarn original copies na ku apload bila ku certify.
Zunguka kote mwisho wa siku kama umeambiwa utume certified copies wewe toa copy peleka mahakamani wapige mihuri ya kuthibitisha kisha scan tuma.
OVER....
 
Oooh nimekuelewa mkuu
 
Kwa mliofungua huo mfumo ni vyeti gani vinatakiwa originals scanned au scanned certified copies of the originals???
 
Kwa mliofungua huo mfumo ni vyeti gani vinatakiwa originals scanned au scanned certified copies of the originals???
 
Hivi naomba kuuliza wakuu kuhusu ku certify vyeti ukiapply unaweza kuscarn original copies na ku apload bila ku certify.
Inategemea una tuma maombi wapi, mara nyingi hayo mambo yapo, ajira portal. Ajira za utumishi pekee. Ajira zingine haina haja. Kama unatuma ajira za ualimu ni scan original Kisha tuma. Maana ajira za ualimu hakuna interview!
 
Daah kumbe wana raha... ngoja tukarudi sasa nikasome ualimu angalau diploma. Mambo ya interview nafasi 5 watu 700 nimeshachoka mie 😭😭😭😭
 
Hv naweza kutumia app kufanya scan ya vyeti.? Mfano hua natumia adobe scan
 
Back
Top Bottom