Naomba ufafanuzi juu ya hati za makazi

msemakweli2

JF-Expert Member
Jul 28, 2013
1,627
1,880
Salaam wanajamvi,

Nimesikia kuna gari linaranda randa huku city centre, kuhusu leseni za makazi ya kwamba tunaweza kuchukulia leseni za makazi Manispaa husika.

Mwenye details za mchakato mzima mpaka kupata leseni za makazi Manispaa naomba anijuze hasa kwa sisi ambao nyumba zetu tumejenga kwenye viwanja visivyopimwa.

Kama kuna mtu wa ardhi akinipa ufafanuzi nitafurahi zaidi.

Ijumaaa kariim wakuu
 
Nenda kwenye wilaya yako utapata majibu.

Leseni za makazi hazajaanza kutolewa jana wala leo ni kitambo( dsm)
 
Back
Top Bottom