Habari za muda huu naomba kuuliza kuhusu any desk je ukiwa unarusha au kurushiwa kitu unakatwa MB kama vile tu ukiwa unadownload mfano ukirushiwa nyimbo ya MB 10 utakatwa MB hzo hzo au utakuwa kama vile unacopy na kupaste yaan hakuna MB utakazo katwaa

AnyDesk/Teamviewer na Remote assistant software zote. Unapohamisha file kutoka kwako kwenda kwa Client, wewe unakatwa MB za ku-Upload na Client anakatwa MB za Ku-download. Simply ile ni FTP process kama unavyodownload