Naomba ufadhili ili niweze kusoma clinical medicine mwaka huu kutokana na familia yangu kuwa duni

Lio tz

Member
Apr 16, 2018
71
26
Ndugu zangu habari zenu mm ni kijana nliehitimu masomo ya kidato cha NNE 2016 naomba ufadhili ili niweze kusoma clinical medicine mwaka huu kutokana familia yangu kuwa duni
Nitashindwa kumudu gharama za masomo kwa yeyote mwenye uwezo wa kunisaidia au kama unajua taasisi yoyote inayotoa mikopo kwa diploma naomba unisaidie ili nitimize lengo langu LA kua daktari wa jeshi naombeni msaada wenu na ushauri kwenu
Ufaulu wangu nikama ifuatavyo
Civics-c
History-c
Geography-c
Kiswahili-c
English-c
Physics-c
Chemistry-c
Biology-c
Mathematics-d
 
Ushauri japo si mzuri.

Kupata MTU wa kukusomesha kwa miaka 3 ya CO ni kazi.
Kwanini usitafute fani unayoweeza Fanya baada ya mafuno ya miezi mitatu veta usome, iyo itakusaidia
 
Hyo nafasi umeipata ya kusomea C0?chuo gani?unatakiwa kuanzia mwaka gani,na kutokana na Ugumu wa family Kama unavyosema ungeenda kwanza jeshini then hyo nafasi ungeipata kirahisi sana hapa chuoni kwao lugalo
 
Samahani kama nitakukwaza, ila nasikiaga wafadhili huwafadhili watu waliofaulu vizuri zaidi!
 
Hyo nafasi umeipata ya kusomea C0?chuo gani?unatakiwa kuanzia mwaka gani,na kutokana na Ugumu wa family Kama unavyosema ungeenda kwanza jeshini then hyo nafasi ungeipata kirahisi sana hapa chuoni kwao lugalo
Post za jeshi zinatoka mwezigani mkuu
 
Duh..... KWA NINI USIJARIBU KWANZA FURSA ITAKAYOKUFANYA UPATE PESA?

wengi hudumaa akili kwa kudhani kuwa bila kusoma hawatapata pesa.,....
 
Back
Top Bottom