Naomba uelewa kuhusu kozi ya Udereva

Jun 28, 2021
5
6
Ndugu wana JF pole na majukumu yenu ya Kila siku.

Nina Jambo naomba kufahamishwa kwa wale wa taalam , unapoanza kusoma cours yeyote inayo husu Uxereva mathalani Advanced driving grade two (V.I.P), Utaambia kabla hujaanza huwa panakuwa na test.

Naomba kujua hiyo test inahusu Nini haswa? Na pia ni vitu gani vya kuzingatia unapo Soma course hii?
 
Ndugu wana JF pole na majukumu yenu ya Kila siku. Nina Jambo naomba kufahamishwa kwa wale wa taalam , unapoanza kusoma cours yeyote inayo husu UDEREVA mathalani Advanced driving grade two (V.I.P). Utaambia kabla hujaanza uwa panakuwa na test naomba kunuwa hiyo test uwa inahusu Nini haswa? Na pia nivitu gani vya kuzingatia unapo Soma course hii.
Sasa si ndio unakwenda kufundishwa chuoni? Au unataka kudesa hapahapa?

Vyeti vya kuchonga sasa hivi siyo.
 
Ndugu wana JF pole na majukumu yenu ya Kila siku. Nina Jambo naomba kufahamishwa kwa wale wa taalam , unapoanza kusoma cours yeyote inayo husu UDEREVA mathalani Advanced driving grade two (V.I.P). Utaambia kabla hujaanza uwa panakuwa na test naomba kunuwa hiyo test uwa inahusu Nini haswa? Na pia nivitu gani vya kuzingatia unapo Soma course hii.
driving grade one ulinunua cheti!? hapo ndo utajua gear lever sio ini..

anyway unapewa gari ukahangaike nalo mbele ya mwalimu na maswali ya hapa na pale..
 
1643340466230.png
 
Ndugu wana JF pole na majukumu yenu ya Kila siku. Nina Jambo naomba kufahamishwa kwa wale wa taalam , unapoanza kusoma cours yeyote inayo husu UDEREVA mathalani Advanced driving grade two (V.I.P). Utaambia kabla hujaanza uwa panakuwa na test naomba kunuwa hiyo test uwa inahusu Nini haswa? Na pia nivitu gani vya kuzingatia unapo Soma course hii.
Kabla hujajifunza udereva nakushauri ujifunze kuandika
 
Ndugu wana JF pole na majukumu yenu ya Kila siku.

Nina Jambo naomba kufahamishwa kwa wale wa taalam , unapoanza kusoma cours yeyote inayo husu Uxereva mathalani Advanced driving grade two (V.I.P), Utaambia kabla hujaanza huwa panakuwa na test.

Naomba kujua hiyo test inahusu Nini haswa? Na pia ni vitu gani vya kuzingatia unapo Soma course hii?
DOGO UNAZINGUA

Yaani unajua kabisa hii ni kozi ya driving, inahusu driving halafu unatuuliza test inahusu nini? na hujui kabisa vitu vya kuzingatia kabisa... lik serious
 
Back
Top Bottom