Naomba tuzungumze hapa"AJIRA"

Naomba tuzungumze hapa"AJIRA"

lake zone

Member
Joined
Nov 28, 2014
Posts
47
Reaction score
52
Ukisoma hili tangazo la kazi utaona Ni ajira ya kawaida ndani ya Tanzania inayohitaji uzoefu na ujuzi wa mazingira ya Tanzania,lakini sifa ya kuomba hii kazi Ni lazima uwe kutoka India au kenya, hivi Ni kweli watanzania tunadharaulika kiasi hiki,oneni hili Tangazo alafu tushauriane Kama Kuna sehemu tunakosea Kama nchi. Binti-kiziwi RANGIMO JFmember
image_dc8da9f8-a2f4-47de-83d1-bd8a70d3321f20220810_174721.jpg
 
Sababu Watz tuna ubabaishaji sana
Mbona wapo Watanzania wachapakazi na waaminifu wengi tu,na hata ukiangalia hakuna nchi yenye raia wote wakamilifu,Kama alitokea mmoja mbabaishaji haiwezi kuwa ndio hukumu kwa wote,hapa serikaji inabidi itazame Sheria zake za vibali pamoja na Kodi ya ajira kwa wasio watanzania ili kulinda ajira kwa wazawa,maana Kama ikiwa hivi leo je kesho kizazi kijacho kitapata ajira wapi??
 
Wa Tanzania tunapenda wizi na rushwa kazini na pia tuna dharura nyingi.

Mara msiba wa shangazi

Mara mtoto anaumwa.

Ni ngumu sana m Tanzania kufanya kazi mwezi mzima bila kupata na dharura ya kutokuwepo kazini ama kuondoka kazini mapema kabla ya muda wa kazi kuisha
 
Sababu Watz tuna ubabaishaji sana
Acha kuongea kama zwazwa nyie ndio mnazaa watoto mnasomesha halafu wakikosa kazi mnalalamika , Tanzania ni nchi ya kipuuz Sana , kuna loop holes migration na labour ministry na rushwa .
Labour policies za hii nchi kama mambo mengine mengi yalivyo ni ovyo.
Nenda nchi yeyote uone kama utapata ajira kiseng£ kama upuuz unaendelea humu , nafasi za ajira inabidi ziwe prioritised Kwa wazawa Tu , nchi zote inafanyika hivyo unless mtu anayeletwa kuchukua ajira awe na extraordinary skills na experience hasa yet pamoja na hivyo ni lazima ithibitidhwe na mamlaka husika kuwa ni kweli Hakuna experts WA level hiyo katika nchi husika sasa humu wanakuja waseng£ WA kila Aina wanaajiliwa kiku.ma Halafu bado tukiwa tunajua tuna tatizo la unemployment Kwa vijana wengi wenye fani zao . Sijui tunafikiria nini
 
Umeongea point Sana hapa,nadhani shida ipo kwenye wasimamizi wa Sheria zetu,nchi za wenzetu huu ujinga haupo haiwezwkani ajira Kama hii ikapewa wageni,hii Ni mbaya Sana kwa soko la ajira za ndani,Immagration wanapaswa wajitathmini ikiwezekana ifumuliwe yote
 
Back
Top Bottom