"Naomba tuzae sitakusumbua kulea." Hii haipo

Mwanamke anayo akili kubwa ya maisha kuliko mwanamme. Hawa watu wanacalculate mambo yao kwa uwezo mkubwa.
Soft psychology inawapa uwezo mkubwa wa kumdanganya mwanamme. Na kwa ujinga wa mwanamme kumuona Mwanamke kama mama yake hadi kufika hatua ya kumuita mke wake Mama inamcost sana.

Men Be careful with women . You must have some elements of Hatred towards these people, a little hatred indeed.


Sent from my iPhone using JamiiForums
umeongea ukweli kbs
 
Badae anakubadilikia na kwakua ni Siri atakutishia kwenda kumwambia mkeo,, ukijaribu kumzuia anakupa mashart ya kutekeleza kabla hajakisanua,, hapo ndo kipindi utakachoona ni dizai gan pesa inapitia kwako kama daraja tu
 
Wadada wa mjini ndo zao wanaku-approach eti tuzae tu (sperm donor) hasa Wanaume walio kwenye ndoa. Halafu eti hatakusumbua, haipogo hivyo Wakulungwa ukijichanganya ukazaa naye utajutraa.

NB: Kabla hufanya Risk assessment kulingana na kipato chako, hawaji kichwakichwa, so kama Huna hela hawa utawasikia kwa wenye hela tu.
ndo inavokuwa hawa hawaji tu kichwakichwa anakuwa keshakupimia kimshahara chako kwanza ndo anakuja na hizo porojo za eti mzae tu atalea mwenyewe.
 
Back
Top Bottom