"Naomba tuzae sitakusumbua kulea." Hii haipo

Wengi ni kweli badae watakusumbua lakini kuna wachache hawatakusumbua.

Muhimu Fanya tathmini hali yake ya kipato na uchumi wake binafsi,
Je anajimudu mwenyewe?
Is she having financial independence?

Ndipo ukubali au ukatae ku-donate sperm.
 
Kuna mwanamke alinipa hii issue.

Nikamwambia simuamini mpaka anipe mkataba wa kisheria kabisa. Nikafikiri hawezi kunipa.

Akaenda kwa mwanasheria na kunipa mkataba kabisa, kisha akasema ule mkataba nikitaka kuubadilisha niubadilishe ninavyotaka.

Yeye anataka mtoto wangu tu.

Nikasema siwezi kufanya hilo jambo.
 
Alikua Hana tako?
 
Au mwanamke Mwenyewe kichwa kibovu?
Unawajua wale wa "East Meet West"?

Yani mtoto ukimleta mambo ya nyumbani anajua mambo ya mila na utamaduni na heshima zote kama kalelewa ukoo wa kichifu, halafu ukimpeleka huko mbele duniani anajua mambo yote ya Canada alipokuwa akikaa na ana what the French call "savoir faire".
 
Ujuaji sio?
 
Wengi ni kweli badae watakusumbua lakini kuna wachache hawatakusumbua.

Muhimu Fanya tathmini hali yake ya kipato na uchumi wake binafsi,
Je anajimudu mwenyewe?
Is she having financial independence?

Ndipo ukubali au ukatae ku-donate sperm.
Woyoo
 
Back
Top Bottom