Many thanks. Itakuwa vizuri kupata feedback ndani ya mwezi toka sasa kuhusu mwiitikio wa shule husika. Pia unaweza kupata rafiki au ndugu au jirani na mkashirikiana kwa pamoja.
@amanikwenu
umeonyesha nia njema na wazo jema pls lisiishie jamvini tupange kikao tupange mikakati ya kulifanikisha kitaifa
kauli mbiu yetu ni
yes we can
kama imekubalika tuiunge mkono wapwaaz