Naomba tusaidiane wakubwa nina swali.?

Anold S

Member
Feb 14, 2015
76
125
Habari zenu wakubwa nina swali lina utata kwa upande wangu.

difference between conflict and mis understanding.?
Msaada tafadhali.
 
KENZY

JF-Expert Member
Dec 27, 2015
14,020
2,000
binafsi naona yanalandana conflict hutokea kwasababu ya mis understanding,kabla ya conflict huanza mis understanding ni kama process flani.
tofauti nionayo hapo ni kuwa conflict ni kupitiliza haswa kwa kutoelewana means kutupiana ngumi,matusi na vijembe lkn mis understanding huku ni kutoelewana ktk mambo kadhawakadha kabla ya kurushiana ngumi,matusi na vijembe.
 
kiwatengu

JF-Expert Member
Apr 6, 2012
15,243
2,000
[HASHTAG]#justiceforLema[/HASHTAG]
[HASHTAG]#TunamtakaBenakiwahai[/HASHTAG]
[HASHTAG]#FreeMaxeceMelo[/HASHTAG]
 
SaaMbovu

JF-Expert Member
Oct 8, 2013
5,008
2,000
binafsi naona yanalandana conflict hutokea kwasababu ya mis understanding,kabla ya conflict huanza mis understanding ni kama process flani.
tofauti nionayo hapo ni kuwa conflict ni kupitiliza haswa kwa kutoelewana means kutupiana ngumi,matusi na vijembe lkn mis understanding huku ni kutoelewana ktk mambo kadhawakadha kabla ya kurushiana ngumi,matusi na vijembe.
Upo sawa kidogo. Ila conflict sio lazima iwe na mtu inaweza kuwa hata within yourself. Hujawahi kusikia mtu anasema nafsi inanisuta kwa kufanya jambo fulani na mara nyingi solution ni kuomba msamaha. Na hiyo internal conflict husababishwa na misunderstanding.
 
Anold S

Member
Feb 14, 2015
76
125
binafsi naona yanalandana conflict hutokea kwasababu ya mis understanding,kabla ya conflict huanza mis understanding ni kama process flani.
tofauti nionayo hapo ni kuwa conflict ni kupitiliza haswa kwa kutoelewana means kutupiana ngumi,matusi na vijembe lkn mis understanding huku ni kutoelewana ktk mambo kadhawakadha kabla ya kurushiana ngumi,matusi na vijembe.
 
Titty

JF-Expert Member
Aug 31, 2016
571
1,000
You can be having personal conflicts. That's conflict between you lakini hakuna misunderstanding between yourself
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom