Magoya2000
JF-Expert Member
- May 7, 2017
- 641
- 1,267
We kurupuka tu. Akili zetu ziwe kama zao Ili tuendane nao. Sasa tuone nani ataumiaMkuu unatushauri tukurupuke tuu? , hapana SI sawa ,
Fikiria kabla ya kutenda
Ulimwengu wa Sasa unaongozwa na mfumo jike. Wewe cheza na akili zilivyo. Usitumie zako hata kidogo. Mwisho utaona nani mshindiKuna kufanya maamuzi na kufanya maamuzi ya kiume. Unavyosema tufanye maamuzi ghafla kama wanawake tunakiuka ile hali ya uanaume.
Yale yale ya mpwayungu village
Sijatumwa. Nimeona wanaume wanatumia akili nyingi kudeal na wanawake. Wanatakiwa kutumia akili kama zao ili kubalanceMleta uzi umetumwa?? [emoji3]
Kwahiyo unataka tuwaze na tufanye maamuzi ya kukurupuka kama wanawake sio?Sijatumwa. Nimeona wanaume wanatumia akili nyingi kudeal na wanawake. Wanatakiwa kutumia akili kama zao ili kubalance
Hizo ndo akili za kiume ambazo utakiwi kuapply kwenye ulimwengu wa vivurugeKila kitu huwa kinafanywa kea mpango na wala sio kukurupuka tu.
You must think critically before you take an action.
Huu uzi unawahusu wanaume wa wapi vile?!Habari za humu. Ukweli tuongee Ili mambo yakawe sawa. Mwanamke anaendeshwa na emotion Kwa Kiswahili hisia. Hila wanaume wapo in thinking capacity. Kila jambo wanaume wanafikiria na athari zake ziwe hasi au chanya. Sasa katika ulimwengu wa Sasa hutakiwi kufikiria zaidi. Hapo ndo tunaona ukifikiria wenzako Wana take advantage wewe unabaki kufikiria. Wanaume maamuzi Yao yanachukua muda Ili kuamua. Lakini maamuzi yawanawake ni papo hapo. Nashauri na sisi wanaume tuwe na maamuzi ya papo hapo Ili tuendane na Dunia. Dunia ya Sasa hutakiwi kuremba. Kila kitu chukulia kama fursa. Mwanaume tumekuwa wagumu kufanya maamuzi. Maana tunakaaa na kufikiria mara mbili. Mwanamke yupo tayari kuolewa na Mzee Ili mradi anapata Hela. Hataki kudelay kufanya maamuzi. Na sisi wanaume tufanye maamuzi ghafla bila kusita. Ndoa ni lkubet tu. Hivyo hakuna hajak kufikiria. Bet tu kama mzigo pouwa unaish ii tu ila akizingua nawe unazingua maisha yanaenda hivyo
Endapo mwanaume anafuatwa na mwanamke mwenye pesa zake anataka umuoe. Je wewe unashauri Nini Kwa ulimwengu wa sasa? Ulimwengu wa Sasa wanawake wengi wamejilipia Mali Ili waolewe. Sasa wewe unataka kulemba. Wkt wenyewe wanaangalia fursa. Wewe ni nani? Dunia imebadilika mkuuLakini wanawake wapo tiari kufanya lolote ili wapate pesa ...je ww uko tiari ufanywe lolote? [emoji1787][emoji1787]
Wenzako wanaotumia hizo akili za kukurupuka ndio hao wanaotembelewa na makamu wao huyo kamala
Kabisa, haraka haraka huwa haina baraka.Mkuu unatushauri tukurupuke tuu? , hapana SI sawa ,
Fikiria kabla ya kutenda
Umeona eeh my dearWapi wa kukurupuka jamani huu uzi unamuhusu [emoji23]
Achukue hii ni muhimu kukurupuka sio hulka ya mwanaume hasa kwenye maamuziLakini wanawake wapo tiari kufanya lolote ili wapate pesa ...je ww uko tiari ufanywe lolote? 🤣🤣
Wenzako wanaotumia hizo akili za kukurupuka ndio hao wanaotembelewa na makamu wao huyo kamala
Ulimwengu upi huo?Ulimwengu wa Sasa unaongozwa na mfumo jike. Wewe cheza na akili zilivyo. Usitumie zako hata kidogo. Mwisho utaona nani mshindi