Naomba tofauti kati ya kuwa Mpenzi na kuwa Mama kwa mwenza wako(mwanaume)

Kuna siku kulikua kuna uzi katikati kuna mdau akamjibu muanzisha uzi epuka kuwa mama wa mpenzi wako kuwa mwenza wake tu

Kiukweli haya mambo yanachanganya sana kwa maana kuna mambo ukiangalia mama yake alikua anamfanyia na uwenda wewe pia unamfanyia

Na kuna wanaume kiukweli wanadeka(wanahali flani) ya kupenda kufanyiwa mambo mengi sana ikiwemo kupewa maziwa jambo ambalo hata mama yake kalifanya
Anataka umueleze,umuandalie umpe muongozo kama mama yake jambo ambalo ni zuri
Kulingana na maelezo ya ile coment

Wanaume weng hawapendi mwanamke awe kama mama yake
Ugumu unakuja hapo namna ya kuwa na nafasi yako tu ya mpenzi/mke na sio mama ni kwa kufata yapi na
kuacha yapi?
Lakini swali la mwisho ni kweli hampendi mke/mpenzi kutenda kama mama yako juu yako?
unapoambiwa uwe mpenzi na si mama inamaanisha fanya yale yanayokupasa kufanywa na mpenzi na usijaribu wala kufikiria kufanya yale yanayopasa kufanywa na mama, Mf: kumchagulia mpenzi wako marafiki, kumkataza mpenzi wako kufanya jambo flan ambalo haliathiri uhusiano wenu na yale maswali yenu yanayokera ya uko wapi?uko na nani? unafanya nn?....ni mtazamo wangu though..
 
Naona wengi wanapenda kuwa cared kama watoto, mpetipeti tu wee (hapo roho kwatu). Ila wakikosea ndo hawataki eti uwaulize wala kuwagombeza, wao sio watoto tena.... ngoja waje waseme wenyewe vizuri


Nmecheka sana.
kwa hiyo ghafla anakua mkubwa au ndio balehe humkuta
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom