Uzalendo kwa nchi yako unaanza toka ukiwa mdogo.
Sio kila kitu utafuniwe wakati mwingine unatakiwa kushughulisha ubongo...ndo maana watz maisha yanatushinda....kila kitu tunataka rahisi rahisi tu..Hata sijaelewa kitu kwenye hii thread. Chondechonde members wenzangu wa JF, tunapopost mada, tuwe tunajitahidi kufanya ujumbe tunaotoa ueleweke kiurahisi na kwa furaha ili kuwafanya wasomaji wapate kitu cha kujifunza ambacho kitadumu kizazi hata kizazi.
Huyu naye anakinga mwanga wa jua...ili aangalie vizuri kama kuna tai au ndege wakubwa wanakuja...yuko zamu...yaani nawapenda sana viumbe hawa, wako 'smart' sana...
Uzalendo kwa nchi yako unaanza toka ukiwa mdogo.
Hapa hakuna aliyepatia kwa usahihi (100%) upigaji wa saluti kwa askari wa Tanzania. Saluti sahihi ni kiganja kiwe usawa wa jicho la kulia.
Q. Aina ya saluti-tizama mikono kwa makini sana
2. tofauti ya kofia
tofauti ya beji