rayman m Senior Member Joined Feb 6, 2012 Posts 120 Reaction score 27 Aug 31, 2013 #1 Wadau naomba please mwenye wimbo wa MASELE chapombe wenye jina UZA NYUMBA WEKA HESHIMA BAA. Please mwenye nao naomba aniatach hapa either audio au video. Asante kwa msaada
Wadau naomba please mwenye wimbo wa MASELE chapombe wenye jina UZA NYUMBA WEKA HESHIMA BAA. Please mwenye nao naomba aniatach hapa either audio au video. Asante kwa msaada
Viol JF-Expert Member Joined Dec 15, 2009 Posts 25,419 Reaction score 18,345 Nov 10, 2014 #2 mkuu dah unataka uweke heshima nini
kende JF-Expert Member Joined Dec 2, 2013 Posts 3,527 Reaction score 1,669 Nov 11, 2014 #3 Viol said: mkuu dah unataka uweke heshima nini Click to expand... kilichokuvutia kuiquote thread ya 2013 nini, na wewe una nia ya kujenga heshima bar?
Viol said: mkuu dah unataka uweke heshima nini Click to expand... kilichokuvutia kuiquote thread ya 2013 nini, na wewe una nia ya kujenga heshima bar?
Viol JF-Expert Member Joined Dec 15, 2009 Posts 25,419 Reaction score 18,345 Nov 11, 2014 #4 kende said: kilichokuvutia kuiquote thread ya 2013 nini, na wewe una nia ya kujenga heshima bar? Click to expand... Nilikuwa naangalia comedy ya masele kugoogle nikakuta thread
kende said: kilichokuvutia kuiquote thread ya 2013 nini, na wewe una nia ya kujenga heshima bar? Click to expand... Nilikuwa naangalia comedy ya masele kugoogle nikakuta thread