Hassani Rusovu
New Member
- Feb 18, 2020
- 4
- 10
Asante mkuu kwa mrejesho wakoHongera kwa mradi ila ujaeleweka hadi uweze kupata sapoti(kuaminika) kutokana na uhalisia ya janja janja nyingi na utapeli.
Ulichoandika nimekielewa mkuuAsante mkuu kwa mrejesho wako
Hilo unalo ongelea nalijua mkuu maana kwa sasa ku gain trust kwa mtu from nowhere ni ngumu sana kutokana na wingi wa matukio mbalimbali ya kitapeli yanayo tokea.
Ni kwamba mradi unahusu uzalishaji wa Biogas kutumia taka zinazo oza, ambapo badae tunaichuja hiyo Biogas kuondoa chembe za maji pamoja na kupunguza gas zingine zinazo patikana ndani yake kubakisha Methane (CH4), hii ni Natural Gas ambayo tuta ifanyia Compression kwa kutumia mashine maalumu kupata Compressed Natural Gas (CNG). Lengo la kufanya compression ni kuongeza pressure tunapo ifanyia uhifadhi.
VITU VINAVYO HITAJIKA KATIKA HATUA ZA UZALISHAJI
UZALISHAJI
- Raw materials
- Digester
- Balloon za kukusanyia gas
- Storage tank
- Machine na vifaa vingine vya kusafishia gas
- Compressing machine
Katika hatua za uzalishaji wa gas kama nilivyo kwisha sema tutatumia taka zinazo oza (Organic Waste) ambazo zina zalishwa majumbani na mitaani kwetu, kinyesi cha wanyama, na taka za mashambani. Tutachukua taka hizo na kuziingiza ndani ya mtambo (Digestion Tank/ Digester), humo gas itazalishwa kupitia process ya kibaiolojia ambapo bacteria watafanya decomposition ya taka hizo in absence of Oxygen (Anaerobic Digestion).
Mabaki ya taka baada ya kufanyiwa digestion yatatolewa nje ya Digester na kufanyiwa processing ambapo tutapata mbolea (Organic Fertilizer) itakayo tumika mashambani. Baada ya gas kuzalishwa itakusanywa katika balloon na baadae kuwekwa katika storage tank baada ya ballon kujaa. Baada ya hapo mchakato wa kuichuja na kusaficha utafanyika na kuhifadhi tena katika matenki kabla ya kufanyia packaging.
Mradi huu una faida nyingi za kiuchumi na kimazingira kwa jamii nimejaribu kuelezea kwa ufupi tu, nadhani mpaka hapo utakua umesha anza kunielewa na kupata picha halisi ya mradi husika.
Nashukuru kwa kunielewaUlichoandika nimekielewa mkuu
Asante mkuu kwa mrejesho wako