Naomba sponsorship ya Elimu ya juu

Innocenthezron

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2016
Posts
393
Reaction score
472
Mimi ni mwanafunzi mwaka wa kwanza wa udaktari hapa Hubert Kairuki memorial University HKMU. Sijawahi panga kusoma katika hiki chuo kutokana na ada yake kuwa kubwa lakini kutokana na passion yangu ya kuwa daktari na upungufu wa vyuo vya udaktari hapa nchini nikalazimika kuja kusoma hapa nikijipa moyo kwa kuwa sijawahi soma private school labda nitapewa mkopo asilimia mia lakini mambo hayajawa kama nilivyodhania.

Naomba kama kuna mashirika au watu binafsi wanaoweza kunifadhili masomo yangu kwa mkataba wowote ambao hautaingilia utu wangu niko tayari hata kama kuwafanyia kazi pindi nitakapomaliza masomo yangu hata kua daktari binafsi pia nipo tayari.

Natanguliza shukrani wana JF natamani ninachokiandika sasa kitimie. Namtanguliza Mungu pia katika haya maombi yangu.
 
Kampala kuna watu wameingia mkataba wakimaliza chuo watafanya kaz katika Hosp ambayo wanaimalizia ungengua kiu gongo LA mboto nafikir ungepata msaada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…