Naomba sample ya consultancy proposal

stevhinoz

JF-Expert Member
Jun 15, 2021
216
480
Habari ndugu zangu!

Kuna sehemu nafukuzia mchongo ni international NGO agency ya UN....ila nimepata changamoto kidogo maana nimeambiwa hawapokei application letters maana ni position ya consultancy.

Mimi sina uzoefu na kuomba consultancy hivyo basi nahitaji mwenye sample ya proposal ya kuombea consultancy anisaidie ili niweze kui-customize nifanye application.

nitumie kwa email yangu stephvnnn@gmail.com

THANKS in advance!
 
Unatakiwa kuandika Expression of Interest kwa hiyo Consultancy? Unatakiwa kujua ni kitu gani kinatakiwa kwanza.

Ukishajua jaribu kugoogle, mfano, how to write expression of interest for a consultancy. Halafu utafuata zile guidelines (kuna standard guidelines ambazo kila EoI inatakiwa iwe na hivyo vitu).
 
Natakiwa kusubmit proposal sijajua kama ndio expression of interest au vipi!
Nimegoogle naona kama nachanganyikwa.
 
Hebu nitumie hilo tangazo hata nusu tu nikuelekeze kwenye private mail (if you are interested)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom