Sasa hapa shule imekujaje??yeye kaandika madhambi aliyofanya sioni uhusiano nashule labda ungejikita katika siasa na kumwambia siasa ajui!!ila wewe ndo na wasiwasi shule haijakusaidia kuwa na upeo,weledi!!This sounds stupid and reflects a person who has not gone to school. No more comments. Keen
Sasa uliwakosea ni members wa JF au watu wa Meru?

Unatoa sababu gani za kufanya tukuamini haya uyasemayo? Nitakubaliana nawe iwapo utatoa ID yako halisi. Usemalo pengine ni sahihi lakini ulisemavyo ndo inanipa shida.Mimi ni mwanachama wa ccm mwaminifu kabisa.
Tukio la waandishi kupigwa tumelipanga sisi tukiongozwa na katibu wa uvccm wilaya ya monduli Ezekiel Mollel kwa uratibu wa James millya ambae ndio ametoa sh.milioni 4 kunipa mimi na kuwatafuta vijana ambaye kila mmoja nilimpa laki laki kwa kazi hiyo.
Kikao cha kupanga hujuma hiyo ambayo lengo ni kuisingizia chadema tulifanyi Lush Garden kwa Idd alhamisi saa 6 usiku na nikapewa siku tatu kwa utekelezaji zaidi. Millya aliniambia pamoja na Ezekiel kuwa ameagizwa na mzee Sendeka kufanya tukio ambalo kwalo chadema watashutumiwa na kubambikiwa shutuma za fujo kwani ccm wamezidiwa na wamejaribu kila njia zimeshindikana.
NAOMBA RADHI PIA WAANDISHI. NAPENDA MAGEUZI NDO MAANA NIMEJITOKEZA KTK SAFU HII.
Mimi ni mwanachama wa ccm mwaminifu kabisa.