Naomba profile la mh. Moses Machali

simjui mtu

Member
Jul 19, 2011
11
0
ma great thinker! nilikuwa naomba wadhifa wa mbunge wa kasulu mjini mh.Moses Machali kupitia NCCR MAGEUZI,
 
Mkuu karibu javini kwanza
ok anavyoongea kama muhubiri vile of course angekuwa CDM tunge google ok check google usituchoshe
 
Mkuu karibu javini kwanzaok anavyoongea kama muhubiri vile of course angekuwa CDM tunge google ok check google usituchoshe
Hahahahahahaaa unanivunja mbavu mkuu! Kazaliwa August 9 1981, kasulu. Kasoma St. Augustine University of Tanzanzia SAUT-2008, Mbunge wa NCCR-Kasulu Mjini.. Hajui kuongea vizuri/kisomi then mbishi sana!
 
Ngoja mimi nikusaidie kidogo.
Mwaka wa kuzaliwa siujui ila namjua tangu mwaka 2004.
Degree: BA Education, st Augustine University 2010.
Secondary: Newman Sec School ila centre yake ya mtihani ni Kigoma Sec mwaka 2006 (adv level).
College: Kasulu teaching college na kabla ya kuwa mbunge alikuwa Mwalimu wa Kigoma Pr Schoo.
 
mojawapo ya sifa zake ni kudunda hadi wazazi wake

alishawahi kudundwa dodoma kwa kulazimisha watu wampishe barabarani... akaishia kusema ni majambazi mwaka 2013

kijana ana shida ya kulewa sifa
 
Back
Top Bottom