Naomba Playlist ya nyimbo zinazochezwa kwa wingi na Bendi za Dar

Michael Ngusa

JF-Expert Member
Aug 4, 2014
1,637
458
Wapendwa,
Kwa mwenye kujua baadhi au orodha ya nyimbo zinazochezwa kwa wingi na Bendi mbalimbali za hapa jijini aniorodheshee tafadhali. Nipo katika uandaaji wa Playlist ya nyimbo za kufanyia mazoezi illi nipokelewe kama mzoefu kwenye Bendi za hapa jijini.

Asante.
 
Back
Top Bottom