Naomba Picha Hizi...

Steve Dii

JF-Expert Member
Jun 25, 2007
6,402
1,254
Magari ya zima moto ya vituo mbalimbali hapa Tanzania.

Natanguliza shukrani.

SteveD.
 


Askari wa kikosi cha zimamoto Zanzibar wakiwa katika harakati za kujitayarisha kutoa msaada ( ajali ya MV Faith)

Ona zaidi hapa
 


Askari wa Zimamoto wakilikorokochoa gari lao lililofeli kutoa maji! aibu!

Kwa zaidi ona hapa
 
Kama kuna nyingine nyingi zaidi naomba, nitawashukuru.

Picha nyingine ninazoomba ni zile za gari ya aina ya Nyumbu, kuna yeyote mwenye nazo? Kama kawa, natanguliza shukrani.
 









Baadhi ya Vibosile wa Zimamoto





Hoteli iliyoungua.........
 


Magari maalumu ya Fire Brigade (Kikosi ca Zimamoto) wakati wa kuwahi tukio hilo la kuungua kwa Hoteli ya Paradise Resort mjini Bagamoyo



Hapa wakizima moto huo uliokuwa ukiwaka kwa kasi kubwa kutokana na upepo unaotokea Baharini ukizingatia kuwa hoteli hizo ziko ufukweni mwa bahari ya Hindi.




Wafanyakazi wa kikosi cha Zimamoto kutoka Dar es alaam wakijianda kwa kuanza zoezi la kuzima moto huo hata hivyo kutokana na umbali wa eneo la tukio asilimia kubwa ya majengo ya Hoteli hiyo yalikuwa tayari yameteketea.
 


gari la zima moto la faya likiwasili eneo la tukiao huku kila kitu kikiwa kimetekeketea kwa moto,ambapo chanzo chake inasemekana ni hitilafu ya umeme.



askari wa kikosi cha zimamoto cha Faya,akimalizia kuzima (sijui niite majivu tu,maana kaja wakati moto ushazimika) huko Bagamoyo​
 
03/03/2008



Jengo la ushirika mtaa wa Lumumba, Mnazi Mmoja maarufu kama jumba refu kwa wenyeji wa Dar es Salaam lilishika moto na kuteketezwa sehemu kubwa ya ghorofa ya chini.



Chanzo cha moto hakijafahamika ingawa redio mbazo zinajulishwa kuwa ni hitilafu ya vitu fulani fulani.



Wanazimamoto wakiweka maswali na majibu ya moto huo.



Moto huo uliteketeza rasilimali nyingi ambazo zinaendesha kazi katika mashirika yaliyomo kwenye jumba hilo.



Baadhi ya rasilimali chache ambazo zimebaki zikiwa zinaangaliwa na wafanyakazi.



Wapita njia wakishangaa na hali halisi iliyotokea hapo.



Waziri wa mambo ya ndani Mh. Lawrence Masha alitembelea eneo la tukio na kujionea jinsi zimamoto walivyoweza kuudhibiti moto usienee ghorofa zingine.



Wengine hawaamini macho yao kwa yaliyotokea.
 
Last edited:
[FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]

Mchuma Toyota Surf ukiteketea, huku zimamoto akikodoa macho bila vifaa...
[/FONT]
 




Katika jiji la Arusha kuna modifikesheni za kutosha, moja wapo ya modifikesheni hizo ni "Range Rover" hii iliyo badilishwa na kuwa gari la zima moto la kampuni ya ulinzi ya "KK Guards"​
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…