Magari maalumu ya Fire Brigade (Kikosi ca Zimamoto) wakati wa kuwahi tukio hilo la kuungua kwa Hoteli ya Paradise Resort mjini Bagamoyo
Hapa wakizima moto huo uliokuwa ukiwaka kwa kasi kubwa kutokana na upepo unaotokea Baharini ukizingatia kuwa hoteli hizo ziko ufukweni mwa bahari ya Hindi.
Wafanyakazi wa kikosi cha Zimamoto kutoka Dar es alaam wakijianda kwa kuanza zoezi la kuzima moto huo hata hivyo kutokana na umbali wa eneo la tukio asilimia kubwa ya majengo ya Hoteli hiyo yalikuwa tayari yameteketea.
Jengo la ushirika mtaa wa Lumumba, Mnazi Mmoja maarufu kama jumba refu kwa wenyeji wa Dar es Salaam lilishika moto na kuteketezwa sehemu kubwa ya ghorofa ya chini.
Chanzo cha moto hakijafahamika ingawa redio mbazo zinajulishwa kuwa ni hitilafu ya vitu fulani fulani.
Wanazimamoto wakiweka maswali na majibu ya moto huo.
Moto huo uliteketeza rasilimali nyingi ambazo zinaendesha kazi katika mashirika yaliyomo kwenye jumba hilo.
Baadhi ya rasilimali chache ambazo zimebaki zikiwa zinaangaliwa na wafanyakazi.
Wapita njia wakishangaa na hali halisi iliyotokea hapo.
Waziri wa mambo ya ndani Mh. Lawrence Masha alitembelea eneo la tukio na kujionea jinsi zimamoto walivyoweza kuudhibiti moto usienee ghorofa zingine.
Katika jiji la Arusha kuna modifikesheni za kutosha, moja wapo ya modifikesheni hizo ni "Range Rover" hii iliyo badilishwa na kuwa gari la zima moto la kampuni ya ulinzi ya "KK Guards"
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.