Naomba Picha hizi kwa mwenye nazo

Naomba Picha hizi kwa mwenye nazo

Totos Boss

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2012
Posts
5,454
Reaction score
1,569
Nimesikia habari kua vijana 19 wa CHADEMA wamekamatwa na Polisi kwa kuvaa nguo zinazoidhalilisha CCM
mwenye picha za hizo nguo naziomba hapa tafadhali.
 
Uonevu nchi hii una kikomo chake!

Mwakalebela alipost picha ya kejeli na dhihaka kuidhalilisha CHADEMA, (UKAWA at large), dunia imeona na hajafanywa lolote.

Ipo siku tu!
 
Ipo Siku Tu Wataelewa Maana Ya Kumkomboa Mtanzania.
 
ccm.jpg
 
Back
Top Bottom