Naomba nyimbo za taifa langu - Tanzania

Naomba nyimbo za taifa langu - Tanzania

Kimbori

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2012
Posts
6,292
Reaction score
4,785
Habari zenu woote... Kwa heshima na tahadhima naomba nyimbo mbili za taifa langu - Tanzania, ambazo simesahaulika kidogo.
Nyimbo hizo ni:

1. Tazama ramani utaona nchi nzuri...
2. Tanzania nakupenda kwa moyo wote.

Ikiwa kama unajua link yoyote nipe au kama unazo naomba uziweke hapa au uni PM nikuje email yangu.
Nyimbo hizo ni muhimu kwangu, na kwa jamii yotte ili kujenga uzalendo. Mchana mwema.

nitafurahi zikiwekwa hapa binafsi nazihitaji pia

Mie niwekeeni wimbo wa dr remmy wa mambo kwa soksi, maana nyimbo za kizalendo zimejaa unafiki, watu wanaziimba midomoni tu mioyoni mwao wanawaza kunufaisha nafsi zao.

Mi naombeni mp3 ya tangazo la zantel lile la kunyang'anyana simu. Linasema 'dunia hii nimsimulie nani...'

Hio "Tanzania Tanzania nakupenda kwa moyo wote, Nchi yangu Tanzania jina lako ni tamu sana, na wageni wa kukimbilia wewe, mambo mema ya kwetu kabisa..

Dah hii tamu sana nasikia historia hii ilikuwa ya Taifa letu asili la "TANGANYIKA"?

Napita tu, ....... ila zembwela atakuja kutuwekea hata kama si leo basi kwa kesho

Hio "Tanzania Tanzania nakupenda kwa moyo wote, Nchi yangu Tanzania jina lako ni tamu sana, na wageni wa kukimbilia wewe, mambo mema ya kwetu kabisa..

Dah hii tamu sana nasikia historia hii ilikuwa ya Taifa letu asili la "TANGANYIKA"?

Naskia alitunga brigedia Mosse Nnauye...

Zamani tuliimba hivi, sijui leo mtaimbaje!!!!!!!!

WIMBO WA HALAIKI WA TANZANIA

1.Tanzania,Tanzania,nakupenda kwa moyo wote;
Nchi yangu Tanzania,Jina lako ni tamu sana;
Nilalapo nakuota wewe,niamkapo ni heri mama we;
Tanzania,Tanzania,nakupenda kwa moyo wote;

2. Tanzania,Tanzania,ninapokuwa safarini;
Kutazama maajabu,biashara nayo makazi;
Sitaweza kusahau mimi,mambo mema ya kwetu kabisa
Tanzania,Tanzania,nakupenda kwa moyo wote.

3. Tanzania,Tanzania,watu wengi wanakusifu;
Siasa yako na destruri,ilituletea uhuru;
Hatuwezi kusahau sisi,mambo mema ya kwetu hakika

Wimbo wa pili unahusu Tanzania nchi nzuri.

1.Tazama ramani,utaona nchi nzuri,
Nchi hiyo mashuhuri inaitwa Tanzania,

2.Nasema kwa kinywa halafu kwa kufikiri;
Nchi hiyo mashuhuri inaitwa Tanzania,

3. Nchi hiyo imejaa mabonde,mito na milima;
Majira yetu haya yangekuwaje sasa,
Utumwa wa nchi Nyerere ameukomesha
Nchi hiyo mashuhuri inaitwa Tanzania.

Habari zenu woote... Kwa heshima na tahadhima naomba nyimbo mbili za taifa langu - Tanzania, ambazo simesahaulika kidogo.
Nyimbo hizo ni:

1. Tazama ramani utaona nchi nzuri...
2. Tanzania nakupenda kwa moyo wote.

Ikiwa kama unajua link yoyote nipe au kama unazo naomba uziweke hapa au uni PM nikuje email yangu.
Nyimbo hizo ni muhimu kwangu, na kwa jamii yotte ili kujenga uzalendo. Mchana mwema.

Umetulisha matango pori mkuu.

Wapi ndugu yangu mbona kwangu inafungua?....ebu Google search "tanzania national anthem" itakupa link nyingi na hio utaiona

Kweli link zipo, lakini nsijapata link yenye nyimbo kama Tazama ramani, na Tanzania Tanzania. Nakuiomba ikiwa kama umepata link mahsusi uiweke hapa.

Mie niwekeeni wimbo wa dr remmy wa mambo kwa soksi, maana nyimbo za kizalendo zimejaa unafiki, watu wanaziimba midomoni tu mioyoni mwao wanawaza kunufaisha nafsi zao.
Ama kweli ukistaajabu ya Musa utaona ya Firauni............. Nimecheka mnoooooooooo!

Zamani tuliimba hivi, sijui leo mtaimbaje!!!!!!!!

WIMBO WA HALAIKI WA TANZANIA

1.Tanzania,Tanzania,nakupenda kwa moyo wote;
Nchi yangu Tanzania,Jina lako ni tamu sana;
Nilalapo nakuota wewe,niamkapo ni heri mama we;
Tanzania,Tanzania,nakupenda kwa moyo wote;

2. Tanzania,Tanzania,ninapokuwa safarini;
Kutazama maajabu,biashara nayo makazi;
Sitaweza kusahau mimi,mambo mema ya kwetu kabisa
Tanzania,Tanzania,nakupenda kwa moyo wote.

3. Tanzania,Tanzania,watu wengi wanakusifu;
Siasa yako na destruri,ilituletea uhuru;
Hatuwezi kusahau sisi,mambo mema ya kwetu hakika
Tanzania,Tanzania,nakupenda kwa moyo wote.

Wimbo wa pili unahusu Tanzania nchi nzuri.

1.Tazama ramani,utaona nchi nzuri,
Nchi hiyo mashuhuri inaitwa Tanzania,

2.Nasema kwa kinywa halafu kwa kufikiri;
Nchi hiyo mashuhuri inaitwa Tanzania,

3. Nchi hiyo imejaa mabonde,mito na milima;
Majira yetu haya yangekuwaje sasa,
Utumwa wa nchi Nyerere ameukomesha
Nchi hiyo mashuhuri inaitwa Tanzania.
Mkuu unaweza niwekea na huu "Sisi sote tumekomboka......." wa Zanzibar?

Jamani mimi nautafuta sana wimbo huu siujui jina lake lakini naukumbuka kidogo inavyoimbwa,TANZANIAA FUNGA SAFARI YA TANZANI UKUILIZA SAFARI SAFIRI TANZANIA TANZANIA TANZANIA TANZANIAAAA TAZAMA TANZANIA OOHOHO HOHOHO sijui nitaupataje wimbo huu msaada wenu nautegemea sana.

Huu ilikuwa mwimbo wa kipindi sikumbuki shirika ganiEnzi za mwalimu...umenivuta mbali

Back
Top Bottom