Naomba notes nondo za Civic and Moral Education

Naomba notes nondo za Civic and Moral Education

kesho kutwa

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2016
Posts
1,722
Reaction score
1,993
Wakuu msaada kwa wenye materials wezeshi ya civic and moral education class 4 and 7 nataka ninyakue kombe hapa..

Hasa kwa topic constitution, government organs, mambo ya local government, weo veo das ras na kazi zao ishu ya cibercrime acts, firefighting et..

Ikibidi na topic zingine nina adi email wakuu Asanten
 
Hahaaaa, hizi English Medium Schools zinatutesa sana wazazi. Ni na watoto wa Class 6 na class 3. Wanakuja na homework ya maswali karibu 50 daily. Sasa baba Makuwa mwalimu kwa kuwafundisha homework. Nakushauri download app inaitwa "School Pvh" itakusaidia. Ina masomo yote mkuu.
 
Asante mkuu
 
Back
Top Bottom