NaOmBa nIwAaGe nA Hii:

NaOmBa nIwAaGe nA Hii:

bampami

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2011
Posts
5,700
Reaction score
4,126
Mume na mke
wake wakijiandaa kwenda
harusini walikuwa na
mazungumzo kama
ifuatavyo.
MKE: "Mbona hujaandaa zawadi ya
maana kwa maharusi
wetu." MUME:
Nimeona
nibebe kifurushi hiki
chenye pamba, bandeji
pamoja na dawa joto." MKE: "Kulikoni mume wangu,
kwani kuna mgonjwa?"
MUME: "Hujui bwana harusi
ni Mkuria, lolote linaweza
kutokea wakiwa kwene
fungate." kwa herini.
 
Mimi simo.....Ngoja wakusikie hawa wakina muraa....Patachimbika!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom