M Mwa chando JF-Expert Member Aug 8, 2013 359 122 May 23, 2014 #1 hivi tunatambua kuwa walio maliza kidato cha tano wameanza kuomba mikopo swali! je hawa watu wanaenda jeshini na vyuo hawaja chagua kyomba vyuo itakuwaje nawakati wanarudi mwezi wa 9 je watafanyaje?
hivi tunatambua kuwa walio maliza kidato cha tano wameanza kuomba mikopo swali! je hawa watu wanaenda jeshini na vyuo hawaja chagua kyomba vyuo itakuwaje nawakati wanarudi mwezi wa 9 je watafanyaje?
jov Senior Member Aug 20, 2012 121 9 May 23, 2014 #2 Mwa chando said: hivi tunatambua kuwa walio maliza kidato cha tano wameanza kuomba mikopo swali! je hawa watu wanaenda jeshini na vyuo hawaja chagua kyomba vyuo itakuwaje nawakati wanarudi mwezi wa 9 je watafanyaje? Click to expand... kwani ukiwa jeshi huwezi apply ? network IPO popote pia kuna ems almost kila sehem za Tanzania........
Mwa chando said: hivi tunatambua kuwa walio maliza kidato cha tano wameanza kuomba mikopo swali! je hawa watu wanaenda jeshini na vyuo hawaja chagua kyomba vyuo itakuwaje nawakati wanarudi mwezi wa 9 je watafanyaje? Click to expand... kwani ukiwa jeshi huwezi apply ? network IPO popote pia kuna ems almost kila sehem za Tanzania........
Mustapha Ryder Member Dec 19, 2013 76 12 May 23, 2014 #3 kila k2 kpo planed nadhan kutakua na link kat ya JKT na BODI
saidry Member Aug 29, 2013 86 5 May 30, 2014 #4 nakumbuka mwaka wetu tulisaidiwa kuapply na ndugu zetu waliopo nyumban wkt tupo jkt..kule khs network sahau...bora uangalie guidebook ya tcu..ucheq course unazozitaka afu uache watu wa nymbn wakujazie
nakumbuka mwaka wetu tulisaidiwa kuapply na ndugu zetu waliopo nyumban wkt tupo jkt..kule khs network sahau...bora uangalie guidebook ya tcu..ucheq course unazozitaka afu uache watu wa nymbn wakujazie
K kirikuu10 JF-Expert Member May 4, 2014 249 58 May 30, 2014 #5 Mustapha Ryder said: kila k2 kpo planed nadhan kutakua na link kat ya JKT na BODI Click to expand... Hahahaaaaaa! Unautani wewe nafhani hijaijua hii serikali ya baba riz.na kama utaifahamam vyema basi naamini hili andiko lako hapo juu utaliondoa mkuu.
Mustapha Ryder said: kila k2 kpo planed nadhan kutakua na link kat ya JKT na BODI Click to expand... Hahahaaaaaa! Unautani wewe nafhani hijaijua hii serikali ya baba riz.na kama utaifahamam vyema basi naamini hili andiko lako hapo juu utaliondoa mkuu.
Z Ze Expected Member Nov 24, 2013 22 1 May 30, 2014 #6 Mustapha Ryder said: kila k2 kpo planed nadhan kutakua na link kat ya JKT na BODI Click to expand... never!!! cm watanyang'anywa so hata kufahamu kinachoendelea huku dunian itachukua muda xana..so weka mambo xawa kabsa kabla hujaenda huko shimon
Mustapha Ryder said: kila k2 kpo planed nadhan kutakua na link kat ya JKT na BODI Click to expand... never!!! cm watanyang'anywa so hata kufahamu kinachoendelea huku dunian itachukua muda xana..so weka mambo xawa kabsa kabla hujaenda huko shimon