Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 51,991
- 69,385
Poa ndugu endelea kujifunza tu ni rahisi tu hata sio ngumuU
UMETISHA NDUGU,I APPRECIATE YOUR PRESENTATION!!
Poa ndugu endelea kujifunza tu ni rahisi tu hata sio ngumuU
UMETISHA NDUGU,I APPRECIATE YOUR PRESENTATION!!
Nashukuru sana kwa maelezo yako ubarikiwe sana.Bado nilikuwa nasumbuliwa na kupanda na kushuka elimu ya awali hizo za msingi mtaendelea kunijuza wakt ntakapokuwa nimeweza kutumia lift.ukiwa ndani ya lift angalia mbele mlango wa lifti kwa juu utaona inahesabu namba....kwa mfano uko chini unataka uepande juu ghorofa namba sita ndo unapoenda..nje ya lift minya kitufe cha juu kwa maana unapanda
ikifja na kufunguka igia halafu uwe unaangalia pale juu ya mlango
kana inapanda uutaona namba zinahesabu 1 2 3 4 5 ikifika 6 itasimama ndo utoke sasa umefika
lakini kuna baadhi ukiingia unakuta mtu au watu unaingia lakin kila mtu anaishia namba tofauti..minya namba yako
mfano unatoka ghotofa ya 6 unaenda ghorofa ya 4..nje ya lifti unaminya kitufe cha chini inaaana uashuka ikifunguka halafu unakita watu labda wanatoka ghorofa ya 10 wanaenda ghorofa ya 2...
sasa haihitaji wewe usuubiri had wafike ghorofa ya pili halafu ndo upande ghorofa ya nne..
ukiingia unaminya namba yako pale mbeke 4..thn itashuka itasimama ghorofa ya 4(uww unaangalia pale juu inavohesabu kushuka chini6 5 4 3 21)
sabb uliminya nne ikifika 4 itasimama ushuke sasa..halafu huku itaendelea na safati hadi ghorofa ya pili wanaposhuka wale ulowakuta.
la ndugu lifti sio kupanda na kushuka tu..kuna pia zinazienda kushoto na kulia..kazi jwako!
Duuu hili kumbe somo si la mchezoNa kule ndani kuna button herufi kama G B na M
"G" is "Ground Floor". In some countries, the bottommost floor of a building is the ground floor, and the floor above that is the first floor. In the US, ground floor and first floor are used interchangeably, with the next floor up being the second floor.
"M" is "Mezzanine". This is sort of a "half floor" that doesn't extend across the entire span of the building and is therefore not numbered on its own.
"B" is "Basement", the floor below the ground. In buildings with multiple underground levels, the basements are numbered going downward, so the level closest to the ground level is the first basement "1B", the one below that is "2B", and so on.
yap ila utaelewa tuDuuu hili kumbe somo si la mchezo
Ikifika 4 itapiga alarm wa nne atashuka then itafunga mlango na kuendelea na wewe wa sita so ukimkuta mwenzako just command namba yakoVipi kama umeingia na kukuta mwenzio kabonyeza batani Na 4 ninamaana anaenda ghorofa Na 4 na wewe ukaingia na kubonyeza namba 6,itakuwa sawa au unasubiri hadi akafike na wewe ndo ubonyeze?
Lakini hivi nawezaje kujua kuwa kwa sasa lift iko juu au chini,kuna alama zipi zinaonyesha kuwa juu au chini?ukiwa ndani ya lift angalia mbele mlango wa lifti kwa juu utaona inahesabu namba....kwa mfano uko chini unataka uepande juu ghorofa namba sita ndo unapoenda..nje ya lift minya kitufe cha juu kwa maana unapanda
ikifja na kufunguka igia halafu uwe unaangalia pale juu ya mlango
kana inapanda uutaona namba zinahesabu 1 2 3 4 5 ikifika 6 itasimama ndo utoke sasa umefika
lakini kuna baadhi ukiingia unakuta mtu au watu unaingia lakin kila mtu anaishia namba tofauti..minya namba yako
mfano unatoka ghotofa ya 6 unaenda ghorofa ya 4..nje ya lifti unaminya kitufe cha chini inaaana uashuka ikifunguka halafu unakita watu labda wanatoka ghorofa ya 10 wanaenda ghorofa ya 2...
sasa haihitaji wewe usuubiri had wafike ghorofa ya pili halafu ndo upande ghorofa ya nne..
ukiingia unaminya namba yako pale mbeke 4..thn itashuka itasimama ghorofa ya 4(uww unaangalia pale juu inavohesabu kushuka chini6 5 4 3 21)
sabb uliminya nne ikifika 4 itasimama ushuke sasa..halafu huku itaendelea na safati hadi ghorofa ya pili wanaposhuka wale ulowakuta.
la ndugu lifti sio kupanda na kushuka tu..kuna pia zinazienda kushoto na kulia..kazi jwako!
utapominya ndo utaona.lakini huwez jua.labda kwa zile lift xa viooLakini hivi nawezaje kujua kuwa kwa sasa lift iko juu au chini,kuna alama zipi zinaonyesha kuwa juu au chini?
Mimi nna phobia ya lift, hapana asee nataka ngazi lift hapana
Mkuu, umeeleza vizuri sana. Kwa nyongeza tu, kama mtu umeshafanikiwa kuingia ndani ya lift alafu ukabonyeza kitufe cha kufunga mlango bila kuchagua floor unayo kwenda kweli lift itasimama hapo hapo tu lakini kama ikitokea mtu mwingine yuko floor ya juu yako au chini yako kaiita basi itamfuata huko hivyo kukupeleka uwelekeo uliokuwa hajaukusudiaKWA LIFT ZA MAGHOROFA YA KAWAIDA
CHA KWANZA UKIFIKA KATIKA MLANGO WA LIFT UTAANGALIA MISHALE ILIYOPO KWA NJE ITAKUONYESHA KAMA LIFT IPO JUU AU IPO HAPO GROUND FLOOR
KAMA IPO JUU UTAIITA KWA KUBONYEZA BUTTON ILIYOPO MLANGONI UTAISUBIRI MPAKA IFIKE NA IKIFIKA ITAFUNGUA YENYEWE MLANGO
KAMA IPO HAPO GROUND FLOOR UTABONYEZA BUTTON THEN UTAINGIA NDANI NA UTABONYEZA BUTTON KAMA UTAITAJI KUFUNGA MLANGO LAKINI MARA NYINGI HUWA ZINAFUNGA MLANGO ZENYEWE
UKIWA NDANI HAITAONDOKA KAMA HUJAICOMMAND FLOOR UNAYOTAKA KWENDA SO KAMA NI FLOOR YA SITA UTABONYEZA BUTTON YENYE NUMBER 6 KAMA NI TISA UTAPRESS 9
IKIFIKA KWENYE DESTINATION FLOOR ITAFUNGUA MLANGO NAWE UTATOKA
PIA KUSHUKA UTAFUATA HATUA HIZO HIZO KUINGIA NA KUPRESS UNAENDA FLOOR GANI
ANGALIZO
KAMA MPO WATU WAWILI NA MNAENDA FLOOR TOFAUTI LET SAY MMOJA ANAENDA FLOOR YA 4 NA MWINGINE YA 5 BASI ITAANZA KUSHUSHA NNE KWA KUPIGA KENGELE NA KUWASHA TAA KWENYE BUTTON YENYE NAMBA NNE NA ITAENDELEA HIVOHIVO KWA FLOOR ZINGINE ONCE KAMA KUNA WATU WANASHUKA
Afadhali, mana bila picha hapa hakuna maelewanoAngalia hizi picha hapa ndio kulivyo/ilivyo ni simple sana kutumia
Kwa nje kabisa..pembeni na mlangoni kunakuwa na button mbili za kubonyeza....kupanda juu au chini hizo ndio utabonyeza kama unataka kwenda juu au chini...ukibonyeza kama ilikuwa inashuka itasimama hapo na mlango utafunguka automatically utaingia.... Ukishaingia huko ndani utakuta button zenye namba inategemea na ghorofa lina floor ngapi...wewe utabonyeza namba husika mfano 5...ukishabonyeza hapo tulia mlango utajifunga...baada ya hapo mtasafirishwa hadi namba 5 mkifika hapo inasimama mlango unafunguka wenyewe mnatoka mnaenda sehemu husika
Mi huwa ni muoga tu.... mwaka juzi pale muhimbili naona mafundi wanatengeneza lift, baadae nesi ananiambia tupande lift teh mgonjwa niligoma nikajikongoja kwenye ngazi.Hahaha mkuu umenikumbusha nilikuwa naogopa kupanda lift balaa. Kuna siku nilikuwa naenda TCU (Ile ya zamani pale Posta mpya) nikamchukua mlinzi wa ofisi anisindikize ili nisiwe peke yangu ndani ya lift. Kipindi hicho lift zilikuwa na historia ya kukwamakwama sana, nakumbuka marehemu Balozi Hassan Diria aliwahi kukwama ndani ya lift hali ilikuwa mbaya sana. Ila siku hizi uoga umeisha maana ninapo fanyia kibarua ni lazima nipande lift.
Haya ndio maelezo ambayo mtoa post ataridhika kabisa.barikiwa mkuu...KWA LIFT ZA MAGHOROFA YA KAWAIDA
CHA KWANZA UKIFIKA KATIKA MLANGO WA LIFT UTAANGALIA MISHALE ILIYOPO KWA NJE ITAKUONYESHA KAMA LIFT IPO JUU AU IPO HAPO GROUND FLOOR
KAMA IPO JUU UTAIITA KWA KUBONYEZA BUTTON ILIYOPO MLANGONI UTAISUBIRI MPAKA IFIKE NA IKIFIKA ITAFUNGUA YENYEWE MLANGO
KAMA IPO HAPO GROUND FLOOR UTABONYEZA BUTTON THEN UTAINGIA NDANI NA UTABONYEZA BUTTON KAMA UTAITAJI KUFUNGA MLANGO LAKINI MARA NYINGI HUWA ZINAFUNGA MLANGO ZENYEWE
UKIWA NDANI HAITAONDOKA KAMA HUJAICOMMAND FLOOR UNAYOTAKA KWENDA SO KAMA NI FLOOR YA SITA UTABONYEZA BUTTON YENYE NUMBER 6 KAMA NI TISA UTAPRESS 9
IKIFIKA KWENYE DESTINATION FLOOR ITAFUNGUA MLANGO NAWE UTATOKA
PIA KUSHUKA UTAFUATA HATUA HIZO HIZO KUINGIA NA KUPRESS UNAENDA FLOOR GANI
ANGALIZO
KAMA MPO WATU WAWILI NA MNAENDA FLOOR TOFAUTI LET SAY MMOJA ANAENDA FLOOR YA 4 NA MWINGINE YA 5 BASI ITAANZA KUSHUSHA NNE KWA KUPIGA KENGELE NA KUWASHA TAA KWENYE BUTTON YENYE NAMBA NNE NA ITAENDELEA HIVOHIVO KWA FLOOR ZINGINE ONCE KAMA KUNA WATU WANASHUKA
Mi huwa ni muoga tu.... mwaka juzi pale muhimbili naona mafundi wanatengeneza lift, baadae nesi ananiambia tupande lift teh mgonjwa niligoma nikajikongoja kwenye ngazi.
Huwa napanda ila uoga kama vile nisusu kwenye nguo, na napanda na mtu sio peke yangu
Mkuu! Kwa kawaida vile vitufe vya nje vya UP/DOWN huwa vinawaka!hivyo kama lift iko juu ya floor ulipo wewe basi kitufe cha Up kitakuwa kinawaka! Na kwa yule aliye juu ya eneo ilipo lift basi kitufe cha Down kitakuwa kinawaka!just that!Lakini hivi nawezaje kujua kuwa kwa sasa lift iko juu au chini,kuna alama zipi zinaonyesha kuwa juu au chini?
Pana namba huwa zinasoma pale nje mahali lift ipo. Yaani ikiwa no 7 itaonesha 7 na inavyoendelea kushuka au kupanda utajua tu ule mtiririko wa namba unavyoenda. Hata ikisimama kwa muda ghorofa fulani utajua coz utaona namba imeganda kidogo.Lakini hivi nawezaje kujua kuwa kwa sasa lift iko juu au chini,kuna alama zipi zinaonyesha kuwa juu au chini?