The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,903
- 2,884
Naomba mwenye namba za William Lukuvi anisaidie kuna maofisa wa wizara yake wananipotezea muda kila siku wananipiga kalenda kuna dalili wanataka niwape rushwa kiukweli nimechoka yaani tangu mwezi wa tisa mwaka jana mpaka sasa wananizungusha tu.