Naomba niongee na dada zangu future wives, fiancee, baby mamas

Sijui kama huwa wanaelewa maana ya kula kwa jasho

wataelewa wapi na wanataka kulelewa!!
yaani mizinga haiishi ng'ooo, wakitaka watoe wenyewe kabla hawajaombwa.
Nione aibu kwani shida zimenionea aibu mimi? hakufuatwa ni kiranga chake ndio kinamponza, angejituliza aangalie hiyo tbc yangemkutia wapi hayo!!
 
wewe mbona huoni aibu wala hujistukii kuomba omba papuchi ambazo huna ubavu nazo? Mtaka cha uvunguni sharti ainame babu we, au inua kitanda ila bado kazi iko pale pale utainama tu kukichukua.

sio kulalamika.. nyinyi hamna aibu kuomba omba...

hata hamjishtukiiii kuomba omba kama matonya..

sio tu nawajibu sina bali na mahusiano mengi yanaishia hapo kwenye uomba omba tu...

mtu hajaolewa ameshaanza mizinga kibao je akiolewa si itakuwa balaaa
 
wataelewa wapi na wanataka kulelewa!!
yaani mizinga haiishi ng'ooo, wakitaka watoe wenyewe kabla hawajaombwa.
Nione aibu kwani shida zimenionea aibu mimi? hakufuatwa ni kiranga chake ndio kinamponza, angejituliza aangalie hiyo tbc yangemkutia wapi hayo!!
Ha ha ha ha aangalie zake tbc lol
 
wewe mbona huoni aibu wala hujistukii kuomba omba papuchi ambazo huna ubavu nazo? Mtaka cha uvunguni sharti ainame babu we, au inua kitanda ila bado kazi iko pale pale utainama tu kukichukua.
Cha kumsaidia labda ni hiki tu.....
IMG-20160717-WA0033.jpg
 
Mkiombwa hela ndogo 10,20,50 mnakuja huku kulalamika, mkiombwa hela kubwa napo taabu. Sasa mnatakaje wenzetu, Ivi mnajua maana ya kula kwa jasho kweli nyie. Ukijiona huwezi acha kutongoza na ukiona unaombwa ujue we ni mkono wa birika wanaume wanaotambua wajibu wao hawaombwi wenyew tu wanajiongeza na wanafurahia mahusiano yao.
 
habari dada zangu..

kuna kitu sikielewi sana..

mfano unakutana na mtu may be anakutongoza au bado he is on process mnajuana.. mnakuwa marafiki.. anakukaribisha kwake.. mnapika na kupakua na kuenjoy. mnamchukuliaje?

mfano ana ka vitz ka mkopo.. kajitahid kapanga ki appartment ka 2 rooms, ili ndugu na jamaa wakitoka bush kuja mjini matibabu wasikose room yao.. may be ana ka dstv kidogo analipia hata bomba package ya 23,500 ili asikose tbc na ss bitz.. je mnahisi huyu mtu ana hela sana lazima mumpige mizinga..

maana mtu mnakutana leo hamjuani.. kesho una shida ya laki 3 kweli??

hamna huruma hata anavyotafuta kodi ya nyumban kwake, msosi, mafuta ya kivitz chake na hapo hapo ujenz wa kajumba kake chanika huko..

kiukweli mnatukwaza vijana sema wengi wetu tunashindwa tu kuwaambia... muwe na huruma na aibu pia kuomba omba

kila mwanamke unaekutana nae ana shida tu zamani nilijua wanachuo tu.... hata awe anafanya kazi ni yale yale tu.. why this?????

mtu anatafuta sababu tu anaweza kukwambia mama anaumwa nahitaj hela, mbona sisi wanaume mama zetu wakiumwa tunapambana kuwapa huduma kimya kimya...

Hao makazini si wametoka vyuoni pia ?
 
Sio wote we unakutana na magold diggers find independent women's baba ambao hela au mafanikio yako si kitu Bali ni kama bonus
 
Una kutana na binti mrembo kabisa bila hata haya na ndio kwanza mmejuana na hata sio kwamba hana kazi mtu mwenye mishe zake ila vibom kibao sijui kwanini wana jishushia hadhi kirahisi hivyo kz kama ni shida kila mtu ana zake kuvutiwa na wewe haimanishi ndio na uwezo wote wa kukusaidia matatizo yako yote ya size yangu ntakusaidia ila isiwe ndio tabia
 
Back
Top Bottom