Naomba niongee na dada zangu future wives, fiancee, baby mamas

sio kulalamika.. nyinyi hamna aibu kuomba omba...

hata hamjishtukiiii kuomba omba kama matonya..

sio tu nawajibu sina bali na mahusiano mengi yanaishia hapo kwenye uomba omba tu...

mtu hajaolewa ameshaanza mizinga kibao je akiolewa si itakuwa balaaa

heheeeee ni aibu mwanaume kulalamika hivi, jibu tu sina. Baasi
 
Unachokosea ww ni kuendekeza kuchat chat hovyo, wakati mwingine hakikisha mhamala wako unasoma vzr tafuna faster hlf panguza mdomo nenda zako.
 
kuwatafuna sio kazi...ila utaendelea na maisha ya kuwavua kyupi tofaut tofauti mpaka lini?? kuna muda unafika unapunguza risk za magonjwa.. na inabidi utulie ulee familia

Unachokosea ww ni kuendekeza kuchat chat hovyo, wakati mwingine hakikisha mhamala wako unasoma vzr tafuna faster hlf panguza mdomo nenda zako.
 
kuwatafuna sio kazi...ila utaendelea na maisha ya kuwavua kyupi tofaut tofauti mpaka lini?? kuna muda unafika unapunguza risk za magonjwa.. na inabidi utulie ulee familia
Wakuoa mbona wanajulikana mkuu na kupata magonjwa umejitakia mwenyewe tu, mbona wanawake wenye kiu ya kuolewa wapo na hawana shida ndogo ndogo ww unawakosaje?
 
ha ha ha wanafikiri nyumba unakaa bure??

ni bora wampige mzinga mwanaume anaeishi kwao kuliko anayejitegemea... maana anaekaa kwao hana majukumu so hela ipo...

ila anaejitegemea ni ana njaa kali na stress nyingi maana baba mwenye nyumba kodi, bado billz kibao..

hapo mshahara hautoshi... na bado mtoto wa kike unaongelea laki 3.. hajui hiyo laki 3 unanunua umeme, maji, kingamuz star time au bomba dstv kwa mwaka mzima
Hayo sie hatuyaelewi bana hayo yako tu
 
Si wanawake tu hata baadhi ya wanaume nao siku hizi akijua tu unapokea kamshahara na wao wanatangaza shida japo wanawake tunaongoza
 
Hehee kaka mjini hata Ukifanya kaz Bank Kuu utasema Una Bangaiza tu na jua kali..
#MuwauliozamishaMeli
 
Mim kuomba hela siwez nafight niwe na zangu naolewa tu kwaajili ya kuanzisha familia na kua na mwenza lkn si kwaajil ya kujistir na shida
 
mbona suluhisho rahisi tu, binti sabuni yupo tena gharama yake nafuuuu, so mizinga iko pale pale, tuwaonee huruma au aibu kwani sisi mama zao, mfyuuuuu!!!

Kukuonaje haijalishi wala sio ishu kabisa kitendo cha kutongoza tu means umejisajiri kwenye mpambano , mzinga tu ndo unaomatter, swala la kukuona may be mdogo angu atoto anajua ila mi naona si ishu
 
hawa viumbe kuacha kuwapiga vizinga ni uzembe wa hali ya juu, mwisho watataka kuolewa.

Khaaaaaa nyumba, vits, dstv we mbona Tajiri kabisa unastahili mizinga, wenzio wanaishi kwao wanakula ugali wa Shkamoo na vizinga wanapigwa.
Kama hutaki vizinga tulia kwako uangalie TV, na makochi si unayo? Au hujaunua
 
Back
Top Bottom