Naomba nionekakane tofauti........

Naomba nionekakane tofauti........

mwanaume anapenda achepuke yeye ila we ukichepuka ndo utakaobeba begi tu kwenu na kujifanya kapandisha mabp na maoilcom yotee.safi sana manaye kamwaga mboga mke kamwaga ugali na maji ya kunawa!

Hiviiii kama nyumba umejenga wewe mwanamke unabeba begi kwenda wapi? Nyumba yako unamwachia nani?
 
Ngoja nami nionekane tofauti....
Hivi best,hawa wachezaji wa timu zinazoshiriki Wedi Capu wamepewa jezi ndogo au ndio 6 packs?

Wana six packs bana.kama wale wa Cameroon...duh
 
kumbe lile jicho kodo kwenye screen dakika 90
huwa unachek 6 packs tu ha ha ha
bora mi huwa naibia ibia kidogo wale wanaovaa bukta bila tight

kama waafrika wala msjiulze wao wanajua hawafk mbali.Sasa wanatia bdii kwenye kunyoa vduku,kupga gym na kuvaa matshet ya watoto,na kudance xana wakpata kagol
 
kama waafrika wala msjiulze wao wanajua hawafk mbali.Sasa wanatia bdii kwenye kunyoa vduku,kupga gym na kuvaa matshet ya watoto,na kudance xana wakpata kagol

kwani we ni mzungu?
 
Ningekuwa mie huyo mama ningemuambia hawa watoto sio wako. Tuwalee tu manake mie ndo mama yao. By the time anamaliza kupima dna, karibia presha inamuua.
 
Kweli duniani kuna Wanaume Jina na Wanaume wenyewe wenyewe,Akisikika mfano Baba Masawe kaja nyumba utulivu wa gafla,sasa Uyo ni shoga dume ila Mwanaume halisi huwa aogopi kitu zaidi ya Mungu ambaye ni muumbaji tu,alafu ukiwa kama mwanaume inabidi ujue jinsi ya kumcontroo mwanamke ni kiumbee dhaifu sana kuliko viumbe vyote dunian ukishindwa kumtawala mwanamke basi we unasubiri mauti tu hapa dunian
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom