Naomba nifahamu hili kuhusu biashara ya pombe

Naomba nifahamu hili kuhusu biashara ya pombe

sayyi

New Member
Joined
May 7, 2025
Posts
4
Reaction score
7
Jamani ndugu zangu wana jf nimekuwa nikijaribu kufuatilia biashara ya vileo al maarufu pombe Kali naona katika industry ya biashara inawapatia sana watu faida.

Mwenye ujuzi anisaidie maswali haya

1.Je kabla ya kufanya biashara hii ni taratib Gani zinatakiwa kufuatwa ?
2. Je mtaji kima Cha chini ni sh ngapi?
3. Je wateja wengi wanapenda nini?
4. Je ni ubunifu Upi unaweza kuongeza tija kwenye biashara?
 
Unataka liquor store au grocery/pub au nini unahitaji?
 
Bar
Grocery
Liquor store
Kiosk
Au unaweka kwenye mangi shop??

Zote hizo inategemeana na location uliyopo(fatilia waliofungua maeneo ya jirani wana vibywaji gani)

Vibali kuna leseni ya biashara na ile kuuza vileo.
 
Nasoma comments ili ukifungua ofisi nije nikope pombe...😋
 
Fungua liquor store plus indoor pub kama ilivyo Icons liquor store
 
Back
Top Bottom