naomba mwongozo

naomba mwongozo

Bongo Lala

Member
Joined
Apr 21, 2008
Posts
30
Reaction score
0
asaalam aleykhum al jamia, nimekua nafikiria kusomea mass communication na ningependa kusoma out of Tz, sanasana US, kwa wenye taarifa semister huanza lini huko na process ziko vipi za kuapply?
nikipata na link ya vyuo nadhani itakua poa, nimeambiwa state universities are a bit affordable, msaada jamaa one of mtoto wa mkulima mwenye dreams za further education japo
 
Back
Top Bottom