Ndugu zangu, najua hapa jamvini kuna watu wa taaluma na uelewa mbalimbali hivyohadi kufikia uamuzi huu nimeona kabisa kwamba, nitapata watu wenye kuelewa na wanaoweza kunisaidia katika hitaji langu hili.
Ninahitaji kufanya masomo ya PHD kuanzia mwezi wa tisa mwaka huu, katika chuo chochote Canada ama nchi yoyote ya Scandinavia. Maeneo nipendayo ni International Development au Public Policies, lakini research yangu ningependa sana iwe katika "Micro-enterprise Development, Micro-Finance, Development Finance, Development Economics au Economic Development.
Tatizo langu kubwa ni kwamba ninaishi kijijini ambako sina taarifa ni kwa namna gani naweza kupata supervisor, funds na hata admission.
NAOMBA ANAYEELEWA ANIPE MWONGOZO.
NATANGULIZA SHUKRANI.