Naomba mwenye kuuza baiskeli used from China

Dec 5, 2012
35
8
Msaada,

Naomba mwenyewe kuuza baiskeli used from China kwa bei ya jumla au mwenyewe uelewa wa hii biashara anisaidie nielewesha, nataka kuanza kuuza baskeri lakini sijajua nitapata wapi kwa bei rahisi.

Niko hewani 0784512194
 
mada hiz huww hawajibu, ila uliza uchebe kampiga shilole, watacooment mpaka ushangae....kwa upande wangu ngoja nikufanyie kautafit ndugu nitakupa jibu
 
Back
Top Bottom