Habari zenu, naomba mwenye CV template au sample ya kizungu i mean nzuri yenye kuvutia na nakshi nakshi flani rangi rangi anitumie kwenye email yangu. I think i need to update my cv ready for the coming year.
nitumie kwenye email yangu na iwe mfumo wa word.
happynyonzo@gmail.com
NB; Nitatoa zawadi kwa atakaye nipa msaada.
USHAURI: Achana na manjonjo kwenye CV.Waajiri hawadanganyiki na cv za copy paste,wanazijua hizo ,hivyo inapunguza uwezekano wa kuwa shortlisted.uta-smell fishy mapema mno.sababu cv inasomwa kwa kuconect facts,siyo urembo urembo wewe kama una experience yako iweke wazi pale ili mtu ajue wewe unaweza kuifanyia nini kampuni.Habari zenu, naomba mwenye CV template au sample ya kizungu i mean nzuri yenye kuvutia na nakshi nakshi flani rangi rangi anitumie kwenye email yangu. I think i need to update my cv ready for the coming year.
nitumie kwenye email yangu na iwe mfumo wa word.
happynyonzo@gmail.com
NB; Nitatoa zawadi kwa atakaye nipa msaada.
Nitumie tu bro! inaweza nifaa.
Upo vizuri best
Nitumie tu bro! inaweza nifaa.
Ndo mwenyewe huyo, mpe jobNimeipenda hiyo avatar Happy.
Ndo mwenyewe huyo, mpe job
Kweli Kabisa jombaa kwa raha zakoYeye kaomba kutumiwa CV.
Ngoja ajibu mwenyewe, ukute mwaka unaweza kuanza na mambo mapya.
Kweli Kabisa jombaa kwa raha zako
Watoto wa siku hizi wanapenda wazee, wazee Wanajua kutunzaNatania tu, mimi nimeshazeeka, pension Magu kanibania, kwa hiyo hata nguvu zenyewe hazipo.
Watoto wa siku hizi wanapenda wazee, wazee Wanajua kutunza
Money 💵 talks jombaaa,Shida hawa watoto wa siku hizi hawana aibu, usipomridhisha hachelewi kukwambia.
Wanasababisha wazee tuanze kutumia dawa za kuboost halafu moyo unashindwa kuhimili.
Money 💵 talks jombaaa,
Ukiwa na hiyo binti ataongea nini? 🤔
Chezea pesa weye
Habari ndo hiyo mzeeKabisa, wanasema pesa ndo nguvu za kiume.