Kama binadamu yoyote labda ana mapungufu yake, lakin mimi namfahamu kwa mema tu niliyoyaona kwake.
Mpole,msikivu,hachoshi kuongea naye,ana upendo,mchapa kazi,anajipenda na kujithamini,anaijali sana afya yake, si mtu wa kukata tamaa wala kumkatisha mtu tamaa.
Mtafute kwenye website ya ofisi yake,ili ufanye contact naye ,pia upate cv yake kama kweli unamtafuta kwa wema.
All the best.