Naomba muongozo wa kufanya application UDOM

Naomba muongozo wa kufanya application UDOM

Mjomba kazola

Member
Joined
Mar 25, 2017
Posts
33
Reaction score
14
Jamani naomba kuuliza kwenye system ya UDOM online application unapojaza ikifika katika ku-select applicaton level inatokea option moja tu ya graduate

Kama kuna mtu anafahamu namna ya ku apply undergraduate naomba anifahamishe tafadhali

ASANTENI
 
Attachments

  • Capture.JPG
    Capture.JPG
    8.3 KB · Views: 245
Kuna dogo nimemfanyia application, ni online.

Tembelea website yao www.udom.ac.tz. Utajisajili (register) halafu utaendelea na application yako. Malipo utayafanya kwa TigoPesa/MPesa nk.

Kila la Heri
 
Application kwa UDOM ni online, na imefunguliwa leo.

Tembelea website yao www.udom.ac.tz. Utajisajili (register) halafu utaendelea na application yako. Malipo utayafanya kwa TigoPesa/MPesa nk.

Kila la Heri
Mbona option ya malipo ni kwa tigopesa na CRDB tu?
 
Habari zenu ndugu zangu,

Samahani naomba kujua kama kuna mtu ambaye amekwishafanya application ktk chuo kikuu cha UDOM anipe muongozo

Nimeshafungua account lakini nashindwa kuendelea na ukupiga namba zao mda wote zpo busy tafadhali naombeni msaada wenu...

ASANTENI
 
habari zenu ndugu zangu
samahani naomba kujua kama kuna mtu ambaye amekwisha
fanya application ktk chuo kikuu cha UDOM
anipe muongzo maana nimeshafungua account
lkn nashindwa kuendelea
na ukupiga namba zao mda wote zpo busy
tafadhali naomben msaada wenu...
ASANTEN
Nisaidie namba zao please nami nina shida hiyo. Tusaidiane kuwatafuta

Sent using Jamii Forums mobile app
 
habari zenu ndugu zangu
samahani naomba kujua kama kuna mtu ambaye amekwisha
fanya application ktk chuo kikuu cha UDOM
anipe muongzo maana nimeshafungua account
lkn nashindwa kuendelea
na ukupiga namba zao mda wote zpo busy
tafadhali naomben msaada wenu...
ASANTEN
System yao naona kidogo haipo poa maana kuna wakat nilipokuwa naweka index no. inazingua labla nijaribu tena baaday
 
Back
Top Bottom