Naomba muongozo wa biashara ya Bookshop

Naomba muongozo wa biashara ya Bookshop

Bob Kawari

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2015
Posts
1,231
Reaction score
1,624
Heshima kwenu wadau, ningependa kupata muongozo wa hii biashara ya bookshop kwa wenye uelewa nayo niweze kujua mambo kadhaa. Ni wapi naweza pata mzigo kwa bei poa. Ni vitabu gani hasa natakiwa kuwa navyo.Napia nahitaji kujua kuwa changamoto zake ni zipi hasa.
 
Pole sana mkuu Bob Kawari kwa kutokujibiwa. Naomba mrejesho kama ulifanikiwa kufanya hii kitu
 
Back
Top Bottom