Naomba muongozo kuhusu sifa za Kujiunga Chuo Kikuu

Aug 22, 2015
36
6
Ndugu naombeni kuuliza,! Ni sifa ipi ya mhitimu anayetakiwa kujiunga chuo kikuu mwaka hu!? Awe na D 2,au C 2?! Katika kusomea coz ya Ualimu.Na pia,C inaanzia ngapii,41/50!! Na D ngapii, [HASHTAG]#Natumain[/HASHTAG] ntapata Majibu mazur na ya uhakika
 
Ndugu yangu inakubidi uende necta maana kila mwaka wanaviwango vipya, si umesikia Kuna wanafunzi wapo chuo wengine wamemaliza chuo ila hawana sifa.?
 
nimeota viwango kushuka maana hali ishakuwa tete
ndoto yako ni ya uongo. ndoto yako imesahau kua nia ya hawa watu ni kupungza wa waombaji wa mikopo ya elimu ya juu, na wamefanikiwa hilo kwa kupandisha maksi zaidi ya zile zilizotumika ktk awamu zote za uongozi zilizopia, yaani kuanzia enzi za mwalimu J.K. Nyerere.
wakibadili lengo ovu, watapunguza maksi zao za kuumiza wanyonge wanaosoma shule zetu za umma zenye changamoto lukuti, ambazo kwa makusudi hao hao viongozi wamegoma kuzitatua. yaani kwasasa alama D mbili ndio sifa za kujiunga chuo kikuu, huku alama D inaanzia maksi 50. tangu enzi za mwalimu sifa ilikua ni principal pass mbili, yaani alama E mbili, na alama E ilianzia maksi 35.
profesa mzima anashindwa kutofautisha enzi za mwalimu ambazo chuo kilikua kimoja tu (yaani UDSM, ambacho wenye sifa walikosa nafasi kwasababu ya ushindani ktk kupaata nafasi) na kipindi hiki ambacho vyuo ni vyingi (ambacho mwenye sifa akikosa nafasi chuo fulani kwasababu ya ushindani, basi anapata chuo kingine)
 
ngoja nilale tena labda ile ndoto nilikuwa na mulugo...
 
Ndugu naombeni kuuliza,! Ni sifa ipi ya mhitimu anayetakiwa kujiunga chuo kikuu mwaka hu!? Awe na D 2,au C 2?! Katika kusomea coz ya Ualimu.Na pia,C inaanzia ngapii,41/50!! Na D ngapii, [HASHTAG]#Natumain[/HASHTAG] ntapata Majibu mazur na ya uhakika
 
Attachments

  • Approved_Undergraduate_Programmes_for_Form6_RPL_Applicants.pdf
    1.4 MB · Views: 93
Back
Top Bottom