M miss nimechoka Member Joined Jun 27, 2016 Posts 30 Reaction score 81 Mar 19, 2017 #1 Naomba msaada kwa wenye uelewa na e wallet je kuna bank yoyote hapa tanzania inayotoa huduma za e wallet?
Naomba msaada kwa wenye uelewa na e wallet je kuna bank yoyote hapa tanzania inayotoa huduma za e wallet?
Ushimen Platinum Member Joined Oct 24, 2012 Posts 44,634 Reaction score 112,473 Mar 19, 2017 #2 Niliwahi tumia huduma hii kwa kupitia WESTERN UNION. Au wasiliana nao kwa email:- support@money.yandex.ru or money.yandex.ru/feedback/
Niliwahi tumia huduma hii kwa kupitia WESTERN UNION. Au wasiliana nao kwa email:- support@money.yandex.ru or money.yandex.ru/feedback/
M miss nimechoka Member Joined Jun 27, 2016 Posts 30 Reaction score 81 Mar 19, 2017 Thread starter #4 Asanteni
Mlaleo JF-Expert Member Joined Oct 11, 2011 Posts 16,379 Reaction score 13,195 Mar 19, 2017 #5 Me Natumia Barclays Bank kwa Simu yangu unabofya namba Saba baada ya kiweka pass na kuingia menu kuu
M miss nimechoka Member Joined Jun 27, 2016 Posts 30 Reaction score 81 Mar 19, 2017 Thread starter #6 Mlaleo said: Me Natumia Barclays Bank kwa Simu yangu unabofya namba Saba baada ya kiweka pass na kuingia menu kuu Click to expand... Kwahiyo nikiwa na Barclays bank naweza kuhamisha kutoka E wallet mpaka kwenye akaunti yangu ya Barclays?
Mlaleo said: Me Natumia Barclays Bank kwa Simu yangu unabofya namba Saba baada ya kiweka pass na kuingia menu kuu Click to expand... Kwahiyo nikiwa na Barclays bank naweza kuhamisha kutoka E wallet mpaka kwenye akaunti yangu ya Barclays?
Mlaleo JF-Expert Member Joined Oct 11, 2011 Posts 16,379 Reaction score 13,195 Mar 20, 2017 #7 miss nimechoka said: Kwahiyo nikiwa na Barclays bank naweza kuhamisha kutoka E wallet mpaka kwenye akaunti yangu ya Barclays? Click to expand... Yap kila kitu kinafanyika iwe kununua vocha,Kumnunulia mtu kitu,Kumtumia pesa kwa bank yake au simu n.k pia kuhamisha pesa from one account to another Account iwe ya bank yako kwenda bank nyingine yaani Mwake mwake tu.
miss nimechoka said: Kwahiyo nikiwa na Barclays bank naweza kuhamisha kutoka E wallet mpaka kwenye akaunti yangu ya Barclays? Click to expand... Yap kila kitu kinafanyika iwe kununua vocha,Kumnunulia mtu kitu,Kumtumia pesa kwa bank yake au simu n.k pia kuhamisha pesa from one account to another Account iwe ya bank yako kwenda bank nyingine yaani Mwake mwake tu.